RIP S.A.C.P James Kombe,
Aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi Kikosi cha usalama barabarani, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) mstaafu James Kombe amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.
Madam Ritha: Msiogope Maadui, ameitoa kwa D. Carnegie
Katika UKURASA wake wa FaceBook, Madam Rita ameandika Hiviii..
"Usiogope maadui ambao wanakushambulia. Ogopa marafiki ambao wanakusifia. " - Dale Carnegie
"Usiogope maadui ambao wanakushambulia. Ogopa marafiki ambao wanakusifia. " - Dale Carnegie
STRESS za Mapenzi kwa Diamond Plutnumz, Zinamfanya aendeleekuandika Ujinga Mitandaoni, Check kama hii
siyo?so nataka nione likes na coments za wale walio experience maumivu ya mapenz ukicoments uliumizwa kwa kisa kipi
na ni wimbo wangu upi ukiuskiliza unakufariji ama unakukumbusha ulivyoumizwa.
na mlioumiza wenzenu mwaweza shiriki pia.
twenzetu!!!!!
#WCB for life baby
Check: MAELEZO ya Jinsi ya kupiga kura EBSS 2013
JINSI YA KUPIGA KURA: Andika neno KURA acha nafasi kisha namba ya mshiriki umpendae halafu tuma kwenda 15530. Au piga 090551000 kupiga kura kwa njia ya sauti.
#KAMUA
DUNIA NZIMA MTU MMOJA ANAKOSA CHAKULA KATI YA WATU 8
Mkurugenzi Mkuu
wa Shirika hilo, Jose Silva, ameeleza kuwa, kutokana na wastani huo, ina maana
kwamba mtu mmoja kati yawatu 8 ana tatizo la ukosefu wa chakula.
Mkurugenzi huyo amesema kuwa, watu milioni 840 wanakabiliwa na ukosefu wa
chakula kwa mwaka huu ambapo idadi hiyo imepungua kutoka watu milioni 870 kwa
mwaka jana.
Nchi Kwanza: Rais Kikwete akimkaribisha Ikulu Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani bungeni,Freeman Mbowe
Nchi Kwanza: Rais Kikwete akimkaribisha Ikulu Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani bungeni,Freeman Mbowe.
InfoGramme: FAMILIA WAMEKUFA KWA MOTO MBEYA
WAKAZI wa Ilemi, jijini Mbeya mkoani hapa,
Fadhir Said na mke wake, Lucy Said, wamefariki dunia baada ya kuungua na moto
baada ya nyumba yao kushika moto na kuwaka usiku wa kuamkia leo.
Check Story ya Mtangazaji anayedai kupigwa risasi 2nduma
Kingine alichoandika Diamond kwenye Instagram kuhusu picha zake na Wema muda mfupi uliopita...
Baada ya picha kusambaa kwenye internet zikimuonyesha Diamond na
Wema Sepetu wakiwa pamoja na stori nyingine zikisema wamerudiana, Diamond
amepost hii picha na kuandika.
Baada ya
picha kusambaa kwenye internet zikimuonyesha Diamond na Wema Sepetu wakiwa
pamoja na stori nyingine zikisema wamerudiana, Diamond amepost hii picha na
kuandika..
John Mnyika: Alichoandika FaceBook leo, uhusiana na Baraza la Vijana
Pamoja na kuzinduliwa maonyesho ya wiki ya vijana jana, ni muhimu kuhoji utekelezaji wa maazimio Baraza la Vijana yaliyopitishwa Iringa 1998.
Pili, Napenda kutakia kheri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kuzindua leo Taasisi "Confucius Institute". Ni vyema ikawa fursa ya kuchochea zaidi ya lugha na tamaduni za kichina.
Pili, Napenda kutakia kheri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kuzindua leo Taasisi "Confucius Institute". Ni vyema ikawa fursa ya kuchochea zaidi ya lugha na tamaduni za kichina.
HIKI Ndicho alichoandika Diamon Plutnumz kuhusiana na UVUMI mitandaoni juu ya MAHUSIANO yake ""I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA""
"Kumekuwa na Uvumi na
Habari nyingi sana
Mitandaoni na Kwenye Media tofauti... kwamba mimi na Mwanadada
Wema Sepetu tuna mahusiano ya Kimapenzi, kitu
ambacho Sikweli na taarifa hizo ni za uongo.. uvumi huu ulianza kisa tu
yeye kucomment kwenye Account yangu ya Instagram?..
Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko
kimahusiano ya Mapenzi basi msizungumze ama Kushiriki kwa chochote?
Futeni huo uzamani na Mbadilike, inamaana
Mnapenda kuona watu wanauadui... nimuda
wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania.
na si kuekeana chuki zisizo nanfaida..”
”I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA."
Mitandaoni na Kwenye Media tofauti... kwamba mimi na Mwanadada
Wema Sepetu tuna mahusiano ya Kimapenzi, kitu
ambacho Sikweli na taarifa hizo ni za uongo.. uvumi huu ulianza kisa tu
yeye kucomment kwenye Account yangu ya Instagram?..
Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko
kimahusiano ya Mapenzi basi msizungumze ama Kushiriki kwa chochote?
Futeni huo uzamani na Mbadilike, inamaana
Mnapenda kuona watu wanauadui... nimuda
wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania.
na si kuekeana chuki zisizo nanfaida..”
”I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA."
Mzee Majuto atangaza kugombea ubunge mwaka 2015..
Habari tulizozipata zinasema kuwa gwiji la sanaa za vichekesho nchini, Amri Athumani 'King Majuto' ametangaza kugombea ubunge kwa 2015. Muigizaji huyu mkongwe mzee Majuto ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tanga mjini.
Majuto mwenye umri zaidi ya miaka 60 ametangaza nia yake hiyo alipohojiwa na Clouds, na akadai atagombea kupitia CCM. Bado tunamtafuta mzee majuto ili aweze kututhibitishia kama habari hizi ni kwa kweli au la na kama ni kweli ana mipango gani na jimbo hilo la Tanga mjini.
NU VIDEO: Top C "WAPI ULIPO" Comming soon JOH!!
Baada ya kimya cha muda mrefu, Msanii Top C anatarajia
kuachia VIDEO ya wimbo wake mpya, Wapi Ulipo. Top C kwa sasa yupo nchini Kenya
akiwa chini ya CandynCandy Records…
Rest in Peace BABA Mzazi wa 20 Percent
Tunampa pole msanii 20% kwa kufiwa na baba yake mzazi mzee Khamis Kinzasa aliyefariki jana Jumapili. Mazishi yanatarajiwa kufanyika leo huko Kimanzichana.
BIFU YAISHA: Man Walter na 20% Beef BASI
Kwenye ukurasa wa facebook wa Magic Fm na Channel Ten taarifa hii imetolewa hivi..
Hatimaye bifu kali kati ya msanii aliyewahi kutwaa tuzo 5 za KTMA nchini kwa pamoja na kuvunja rekodi, TWENTY PERCENT na aliyewahi kuwa Producer wake pia mshindi wa tuzo ya matayarishaji bora wa muziki nchini KTMA 2012, MAN WATER, limemalizika rasmi kwa wawili hao kukutana na kumaliza tofauti zao.
Man Water na Twenty Percent walikutana na wawili hao wamekubaliana kufanya kazi tena pamoja na kusahau yaliyopita.
Akizungumzia kiundani kuhusu tofauti zao Man Water alisema tatizo lilikua ni kutoelewana au kupishana kwa kauli ambazo walizimaliza na hatimaye kuweka mikakati mipya ikiwemo ya kufanya kazi pamoja kwa makubaliano maalumu.
Kwa upande wake 20% amesema tofauti zao hazikuwa za msingi bali ni kupishana tu kwa kauli na sasa yuko tayari kufanya kazi pamoja na Man Water.
Inaaminika kwamba kufanya kazi pamoja kwa wawili hao kunaleta mwamko mkubwa kwa washabiki wao kutokana na kuelewana katika kazi zao mbalimbali walizowahi kufanya ikiwemo kaziya Yanini malumbano, Tamaambaya, Mama Neema na nyinginezo.
AU kujadili hoja ya kujiondoa ICC
Viongozi wa Afrika wanatarajiwa kukutana mwezi ujao mjini Addis Ababa Ethiopia, kujadili msimamo wa bara hili kuhusu iwapo watajiunga na Kenya katika kujiondoa kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifiu - ICC.
Mkutano huo unafuatia ombi la Kenya kutaka kikao cha dharura cha Umoja wa Afrika kujadili kesi zinazowakabili Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto.
Kwa sasa hakuna dalili kuwa kuna msimamo mmoja kuhusu ikiwa wanachama 54 wa Muungano wa Afrika waliotia saini mkataba wa Roma wanataka kujiondoa, lakini marais wa nchi hizo bado watajadili uwezekano wa wanachama 34 wa mkataba wa Roma uliounda mahakama ya ICC watajiondoa ICC.Mwandishi wa BBC mjini Addis Aabab, Emmanuel Igunza anasema kuna dalili kuwa ombi hilo la Kenya limeanza kuungwa mkono na mataifa mengi barani.
Tangu kuanza kwa kesi ya Naibu rais wa Kenya William Ruto katika mahakama ya ICC wiki jana, na ile ya Rais Kenyatta ikitarajiwa kuanza mwezi Novemba, dalili zimeonekana kuwa wengi hawana imani na mahakama hiyo wakiiona kama chombo cha nchi za Magharibi kukandamiza waafrika.
Kikao cha dharura sasa kimepangwa kujadili swala hilo baada ya Kenya kuonekana kutaka kuungwa mkono katika azma yake ya kujiondoa ICC.
Kuna uwezekano wa nchi wanacahama wa mkataba wa Roma kujiondoa ICC lakini bado kuna nafasi ya maombi mengine kufanywa kuhusiana na hilo.
ICC yataka mwandishi wa Kenya akamatwe
Mahakama ya kimataifa ya ICC, imetoa kibali cha kukamatwa kwa raia Mkenya ambaye anatuhumiwa kwa kujaribu kuwahonga mashahidi ili wajiondoe kwenye kesi dhidi ya Naibu Rais wa Kenya William Ruto.
Viongozi wa mashtaka walisema kuwa mshukiwa huyo Walter Osapiri Barasa ameshtakiwa kwa makosa matatu ikiwemo kutumia njia za ufisadi kumshawishi shahidi mmoja na mkewe kwa kumlipa shilingi milioni 1.4 au dola 16,200, ili wajiondoe kama mashahidi katika kesi hiyo.
Aidha mahakama inasema kuwa ni juu ya Kenya sasa kumkamata Barasa..
TAARIFA: LIGI daraja la 4 mjini Mbeya kuanza soon
Ligi ya daraja la nne jijini Mbeya inategemea kuanza hivi karibuni endapo zoezi la kurudisha na kupokea fomu likamilika siku ya leo.
Katibu mkuu wa chama
cha mpira wa miguu jijini Mbeya, Watson Mwakisole, amesema kuwa ligi hiyo
inatarajia kuanza tarehe 21 mwezi huu baada ya taratibu za awali kukamilika. Amezitaja timu 14 zinazotarajia kushiriki
ligi hiyo ikiwa ni pamopja na timu ya Prison Junior ambayo ni timu mwalikwa.
Mwakisole ameeleza kuwa Prison Junior itashiriki ligi hiyo
na endapo ikipata ubingwa itapewa zawadi isipokuwa hawatocheza ligi ya mkoa
kwani hii ni kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya uhai.
Katibu huyo ameongeza kwa kueleza changamoto wanayokutana
nayo kuwa ni kutokuwa na wadhamini wa ligi hiyo.
Subscribe to:
Posts (Atom)