MADAM RITA Afunguka Sababu zilizomfanya Kuhamia TBC1 mwaka huu kutoka ITV kipindi chanyuma

Madamu Rita wa Epiq Bongo Star Search kaelezea sababu zilizofanya kipindi chake hicho kuanza kurushwa na TBC1 jumapili hiina isiwe ITV kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma.. 
Bencmark Productio CEO Madam Rita Paulsen

Katika mtandao wa FaceBook ktk Page yake ameandika maneno yafuatayo..

""Baada ya kusoma maoni yenu, ningependa kufafanua sababu mbili za kurusha Epiq Bongo Star Search 2013 kupitia kituo cha Televisheni cha TBC1.

Kwanza kabisa ni sababu za kibiashara ndio zimepelekea kipindi cha EBSS kurushwa kupitia TBC1 na sababu ya pili ni kwamba baada ya kwenda kidigitali, TBC1 sasa inapatikana kwenye ving'amuzi karibia vyote vikiwemo Star Times, DSTV na Zuku.

Nashukuru sana kwa maoni yenu mlioyatoa na mmesikika. Nawatakieni siku njema!""

NEW Video: Airpot Kenya ilivyolipuliwa

VIDEO: Jinsi Kenya Airport ilivyoteketea kwa Moto Baada ya kulipuliwa..

NEW AUDIO: Chindo Umbwa - KingKola

EpiqBSS Kuwa Hewani 4rm J2 hii TBC1

Epiq Bongo Star Search itakuwa ikirushwa hewani kuanzia Jumapili tarehe 11, Agosti 2013 kupitia kituo cha Television cha TBC1. Itaonyeshwa kila Jumapili saa 3:00 usiku na marudio yataonyeshwa kila Jumatano saa 8:00 mchana.

Diamond ni moja kati ya walokwama baada ya Uwanja wa Ndege Nairobi Kenya kulipulia

Diamond Platnums akiwa ni miongoni wa abiria waliokwama kutokana na uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kenya Nairobi kulipuliwa, Diamond amesema  kwamba imebidi abiria wapelekwe hotelini na kuambiwa inawezekana ndege zikaanza kuruka saa moja au saa mbili usiku leo ambapo taarifa walizozisikia ni kwamba ni shambulio la bomu.

COMMING SOON: 14.08.2013 Kala Jeremiah Ft. Mary Lucos "JARIBU KUJIULIZA"

SKILIZA & DOWNLOAD MIXING ZA DJ SPEED wa HighLands FM Radio HAPA