Hii ndio FUTARI ya jana iliyotolewa na Zantel

Bw. Pratap Ghose, CEO wa Zantel.

GreenCityVideo: Shadamo ft Lil Stiggar - Milele Mi Nawe

NU AUDIO: YOUNG DEE - KIJUKUU By Marco Chali @ MJ Records

Vuvuzela Show Tears; CloudsTV

SKILIZA MAGAZETI YA LEO JUMATATU KUTOKA PB YA Clouds FM

NIMEPEWA NA MASANJA HII

Jamaa mmoja msomi msomi kapanda bus toka Dar anakwenda Mwanza. Kwenye siti akakuta mtoto mdogo wa miaka kama 9 hivi. Kwa kuwa jamaa anajiona msomi na anapenda kudadisi akili za wengine akaona ni bora safari ikiwa inaendelea alete mada wajadili na dogo. Akaanza: Dogo hujambo? Naona unasafiri mwenyewe. Naitwa Mayala, na mimi nakwenda Mwanza. Naomba tupige stori. Unajua safari na stori ndo inaenda vizuri. Dogo akamcheki halafu akamjibu: Poa, naenda Mwanza pia. Naitwa Chale. Anza wewe stori. Jamaa akaanza: Hebu tujadili uwepo wa Mungu, hivi wewe unadhani Mungu yupo au ni stori tu? Dogo akakaa kimya kwa muda halafu akajibu: Mimi naona kabla ya kuanza kujadili hivyo, hebu tujadili hili kwanza: unawajua ng'ombe na mbuzi? Wote wanakula majani lakini vinyesi vyao ni tofauti. Kwa nini? Jamaa msomi akatafakari kwa muda halafu akajibu: Hiyo siyo fani niliyosomea. Ila sijui kwa nini. Dogo akamjibu: Sasa kama huwezi hata mjadala unaohusu vinyesi, utawezaje kujadili kitu kikubwa kama uwepo wa Mungu?

NANDO OUT BIG BROTHER AFRICA

Mshiriki wa Big Brother Africa 2013 anayewakilisha Tanzania katolewa mjengoni kutokana na Utovu wa ni dhamu. Fedha ndiye mshiriki pekee aliyebaki.

HALI ILIVYO TUNISIA, BAADA YA BRAHMI KUUAWA

Kiongozi wa upinzani alouawa, Mohamed Brahmi
Tunisia inashuhudia mgomo wa taifa zima baada ya kuuawa kwa kiongozi wa upinzani Mohamed Brahmi. Chama cha wafanyakazi kikubwa kuliko vyote nchini Tunisia, UGTT, kimetoa wito wa kuwataka wananchi kupinga "ugaidi, ghasia na mauaji"

Alhamisi polisi walitumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji katika miji kadhaa nchini humo, baada ya Bwana Brahmi kuuawa kwa kupigwa risasi nje ya nyumba yake mjini Tunis.

Chama tawala nchini Tunisia, cha Kiislam cha Ennahda kimekanusha tuhuma kutoka kwa ndugu wa marehemu kuwa kilikula njama katika mauaji ya Bwana Brahmi.
Hii ndio hali halisi nchini Tunisia, watu wote wwaandamana.

Lampard: TOP 25 BEST GOALS EVER

EBSS DAR: Mchakato unaendelea

 Ni pande za uwanyja wa mpira mpya wa Taifa Temekeeeeeee!! Nyomi la maana lakini ni poa sana...

VIDEO; AJALI YA TREIN JANA

Raw Footage: Spain Train CRASH Near Santiago De Compostela | Accidente

EBSS A-TOWN: Hii ndio Epiq Bongo Star Search 2013 mwaka huu pande za Arusha

Swagger zipo ON.
Mbona mama kashangaa, UMEKAMUA nini?
Walter Chilambo akilonga na wana
Sijui nini kinaendelea hapa!
Watu kibao, Hatuchoki kwa Forenii

SKILIZA & DOWNLOAD MIXING ZA DJ SPEED wa HighLands FM Radio HAPA