Hiki ndicho alichoandika Dully Sykes ktk Website yake kuhusiana na kashfa anayokabiliwa baunsa wake Arafat Ngumi Jiwe, "Yaani nimeumia sana baada ya kupata taarifa hizi za Arafat Ngumi Jiwe
ingawa sijui kama za kweli au laa, lakini mbali na hayo ni habari chafu
ambazo zinaweza kunichafua hata mimi kwa sababu huyo ni jamaa yangu wa
karibu. Kitendo hicho cha kulawiti mtoto na mimi nikiwa kama baba
kinanigusa kwa uchungu sana na kama ni kweli sheria itachukua mkondo
wake ili kudhibiti watu wenye tabia hizo chafu".
No comments:
Post a Comment