MPYA KUTOKA KWA WASTARA HII HAPA:

Maisha yake yalikumbwa na mikasa mbalimbali kutokana na kuugua, mume wake Sajuki kufariki dunia pamoja na mikasa mingine ambayo ilimkumba kwa miaka ya hivi karibuni.
Baada ya hayo yote kwa sasa Wastara anaendelea vizuri na yuko tayari kuendelea kufanya kile ambacho Watanzania wanakifahamu kama kazi kutoka kwake…. movie mpya na ya kwanza toka afiwe na mume wake.
kwenye movie hiyo kumeandikwa ‘Moyo wa Mwanadamu siku zote unatamani kuwa na furaha, moyo ukikosa furaha unaweza kufanya jambo usilolitarajia au kumkera mwingine, lengo lako wewe ni kutafuta furaha, mwangaza wa kuona kesho yenye furaha..

No comments:

Post a Comment

SKILIZA & DOWNLOAD MIXING ZA DJ SPEED wa HighLands FM Radio HAPA