Hii ni Baada ya kutinga jijini Dar
es salaam na EBSS 2013, Ingawa alishindwa kuingia Top 20, ila ilikuwa
poa sana. Na hii ni ngoma yake mpya kati ya alizowahi kuzitoa kimtaa.
Support muziki wake kwa kudownload ngoma hiyo hapa...
RIP S.A.C.P James Kombe,
Aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi Kikosi cha usalama barabarani, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) mstaafu James Kombe amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.
Madam Ritha: Msiogope Maadui, ameitoa kwa D. Carnegie
Katika UKURASA wake wa FaceBook, Madam Rita ameandika Hiviii..
"Usiogope maadui ambao wanakushambulia. Ogopa marafiki ambao wanakusifia. " - Dale Carnegie
"Usiogope maadui ambao wanakushambulia. Ogopa marafiki ambao wanakusifia. " - Dale Carnegie
STRESS za Mapenzi kwa Diamond Plutnumz, Zinamfanya aendeleekuandika Ujinga Mitandaoni, Check kama hii
siyo?so nataka nione likes na coments za wale walio experience maumivu ya mapenz ukicoments uliumizwa kwa kisa kipi
na ni wimbo wangu upi ukiuskiliza unakufariji ama unakukumbusha ulivyoumizwa.
na mlioumiza wenzenu mwaweza shiriki pia.
twenzetu!!!!!
#WCB for life baby
Check: MAELEZO ya Jinsi ya kupiga kura EBSS 2013
JINSI YA KUPIGA KURA: Andika neno KURA acha nafasi kisha namba ya mshiriki umpendae halafu tuma kwenda 15530. Au piga 090551000 kupiga kura kwa njia ya sauti.
#KAMUA
DUNIA NZIMA MTU MMOJA ANAKOSA CHAKULA KATI YA WATU 8
Shirika la
Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza kuwa zaidi ya asilimia
12 ya jamii ya watu duniani, wanakabiliwa na njaa.
Mkurugenzi Mkuu
wa Shirika hilo, Jose Silva, ameeleza kuwa, kutokana na wastani huo, ina maana
kwamba mtu mmoja kati yawatu 8 ana tatizo la ukosefu wa chakula.
Mkurugenzi huyo amesema kuwa, watu milioni 840 wanakabiliwa na ukosefu wa
chakula kwa mwaka huu ambapo idadi hiyo imepungua kutoka watu milioni 870 kwa
mwaka jana.
Nchi Kwanza: Rais Kikwete akimkaribisha Ikulu Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani bungeni,Freeman Mbowe
Nchi Kwanza: Rais Kikwete akimkaribisha Ikulu Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani bungeni,Freeman Mbowe.
InfoGramme: FAMILIA WAMEKUFA KWA MOTO MBEYA
WAKAZI wa Ilemi, jijini Mbeya mkoani hapa,
Fadhir Said na mke wake, Lucy Said, wamefariki dunia baada ya kuungua na moto
baada ya nyumba yao kushika moto na kuwaka usiku wa kuamkia leo.
Check Story ya Mtangazaji anayedai kupigwa risasi 2nduma
Subscribe to:
Posts (Atom)












