Izzo B amesema kuwa Juma tano hii anaachia ngoma yake ya kwanza kwa mwaka 2013 iitwayo Ball Player ambayo amemshirikisha Mangwair na Quick Rocka, Ngoma hiyo imetengenezwa na Nahreel na Lamar.
![]() |
Cover ya track hiyo iliyotupiwa na Ngwair ktk Twitter |
Stay tuned kucheck Izzo anauanza mwaka vip?
Bila shaka atatisha sana..
ReplyDelete