MBEYA: Mtoto aliyechomwa mikono na Mwili, Eti ni mwizi wa MAYAI.

Mtoto Emilly George [7] Mkazi wa Mbeya (V) amechomwa moto mikono yote miwili na mama yake mzazi kisa majirani walidai anawaibia mayai ya kuku na pesa.

No comments:

Post a Comment

SKILIZA & DOWNLOAD MIXING ZA DJ SPEED wa HighLands FM Radio HAPA